NECTA imesema, kwa yeyote mwenye pointi kuanzia 32 kama hana ama D mbili au C moja,
anahesabika kuwa na Daraja 0 kama inavyoonekana katika picha.
Hii ndiyo sababu utaone watu wana pointi mfano 43 lakini
mmoja yupo daraja Sifuri (0) na mwingine yuko daraja la nne (4).