Real Madrid walikubaliana masharti binafsi na nyota wa Bayern Munich Robert Lewandowski na mshambuliaji wa Polandi yuko tayari kusukuma dili la kuhamia Santiago Bernabeu, kwa mujibu wa taarifa nchini Hispania kupitia ESPNFC.
Mwenye umri wa miaka 27 alishirikishwa na kuihamia Madrid na anaweza kuasaini hivipunde ikiwa Bayern watalazimishwa kuuza mmoja miongoni mwa mali zao kubwa.