Thursday, 2 June 2016

Diamond Plutinumz amsainisha Rich Mavoko katika lebo ya wasafi

Mwanamuziki Diamond amemchukua rasmi mwanamuziki Rich Mavoko na sasa atakuwa chini ya lebo yake ya Wasafi

..Baada ya tetesi nyingi sasa leo rasmi amemtangaza mwanamuziki huyu kuwa chini ya lebo yake.

Ameandika haya katika ukurasa wake wa InstagramFrom @diamondplatnumz  -  Wolcome to the Family @richmavoko Let's take Bongo fleva to the world!