Friday, 27 May 2016

Hivi punde - Ajali mbaya iliyohusisha gari aina ya Noah yaua raia

Gari aina ya Toyota Noah yenye namba T568 BNZ imepata ajali mbaya katika barabara ya Mwika - Himo eneo la Makerere leo hii ikitokea tarakea kuelekea moshi. Idadi kamili ya waliopoteza maisha haijapatikana mara moja

Jamiiforum