Saturday, 28 May 2016

Hii ratiba ya Ligi Kuu Zanzibar ni ya kushangaza kidogo

Baada ya kuweka rekodi ya kuwa Ligi pekee inayochezwa kila siku,Ligi Kuu ya Zanzibar imeweka rekodi nyingine ambapo sasa michezo ya Ligi hiyo itakuwa ikianza kuchezwa kuanzia saa 2 asubuhi.

Hatua hiyo imefikiwa na chamacha soka cha Zanzibar (ZFA) naVilabu husika ili Kuhakikisha kuwa Ligi hiyo inaisha mapemakabla ya kuanza kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Ligi hiyo itakuwa ikichezwa kuanzia saa 2 asubuhi,saa 4 asubuhi,saa 8 mchana na saa 10 kamili jioni.

Sokaextra