Thursday, 1 May 2014

(Picha) Huyu jamaa ajaribu kununua gari aina ya Bentley kwa fedha (cheki) bandia

US. Huyu jamaa, Michael Munson, 32, baada ya kujaribu kufanya wizi huo, kama unavyojua nchi za wenzetu teknolojia ni ya hali ya juu. Jaribio lake lilishtukiwa na polisi na kufikishwa mahali husika. Cheki aliyokuwa nayo ilikuwa ya gharama ya dola za kimarekani 263,000. Alithubutu aisee!