Wednesday, 16 April 2014

(Picha) Kijana wa kawaida Nigeria atengeneza gari yenye uwezo wa kutembea barabarani na majini kama boti.

Huyo jamaa wa kawaida sana kutoka Nigeria ambaye ameonyesha uwezo wake akiwa na gari yake aliyoitengeneza ambayo ina uwezo wa kutembea barabarani na kwenye maji pia kama boti, pia gari hiyo inatumia magurudumu 3.

Jamaa alisema anahitaji kutiwa moyo, je atapata!?

Via Omgghana