Tuesday, 8 April 2014

Padre aiba fedha za watawa kumhonga 'baasha' wake.

Padre mmoja muitaliano ambaye hakutajwa jina, amekumbwa na mashtaka na fedhea ya kuiba fedha za watawa ili kumpatia mpenzi wake wa kiume kutoka Morocco.

Kiwango cha fedha hizo hakikutajwa ila inakadiliwa kuwa ni maelfu ya Euro ambazo Padre huyo aliaminiwa kuzitunza na watawa hao.

Pesa hizo alizitumia kumhonga mpenzi wake huyo ambaye inaaminika kuwa na mahusiano nae kwa kipindi kirefu sana akishiriki nae mapenzi ya jinsia moja.

Imeripotiwa kuwa Padre huyo ameshasimamishwa kuhudumu na Askofu wake.

Daa hadi Padre nae yumo!

Omgghana via NY Daily News