Monday, 17 March 2014

Watu saba wafukiwa kwenye mgodi wa dhahabu. Mfuate vitendo ukaone eneo lenyewe.

Eneo la machimbo ambalo watu saba walifukiwa na kifusi cha mchanga wa dhahabu katika kijiji cha Kalole wilayani Kahama Shinyanga.