Tuesday, 4 March 2014

Chris Brown: sichukii uhusiano wa Rihanna na Drake kurudi tena

Chanzo cha karibu na Chris kimesema kuwa Chris hajachukia kabisa kwa kuwa wapenzi hao wamerudisha mapenzi yao tena kama zamani.

Chanzo hicho kilisema kuwa, kwa sasa Chris yupo bize na maandalizi ya kurudi upya katika kazi yake.