Monday, 6 June 2016

Kumbe Jorgé Mendez ndiye meneja wa Mwana FA, AY na Salama Jabir?

Iwe wazi kuwa kwa sasa meneja wa Mwana Fa, Ay na Salama Jabir ni Sallam Sharaff Aka Jorgé Mendez Aka Sallam.

Meneja huyu ambaye kwa sasa ni Internatinal Manager wa Diamond Platnumz amesema

“Ukiacha kufanya kazi kama meneja wa Diamond, pia nawasimamia Mwana Fa, Ay na Salama Jabir, na nina mpango wa kutangaza mwanasoka mkubwa Tanzania ambaye nitakuwa namsimamia pia."

Sallam Sharaff
Sammisago.com