Klabu iliyowahi kutamba miaka kadhaa iliyopita katika ligi ya Serie A nchini Italia Inter Milan imenunuliwa na kampuni ya Uchina ijulikanayo kama Suning Commerce Group Co Ltd ambayo imelipa paundi milioni 212.
Mauzo haya yanafanya kuwa ni mauzo makubwa kutokea katika ununuzi wa vilabu vya Ulaya na makampuni ya Uchina.
Zhang Jidong, mwenyekiti wa chairman Suning group, amelipokea dili hilo likiwa kama njia pekee sahihi ya kukuza soko la mpira wa miguu nchini Uchini.