Kuna taarifa kuwa klabu ya Manchester United imemlipa aliyekuwa Bosi wa Chelsea Jose mourinho kiasi cha Paundi milioni 4 ili asisaini mkataba na klabu nyingine na badala yake asubiri kusaini Man U kiasi ambacho alilipwa siku kadhaa baada ya kuachwa na Chelsea.
Pia, ripoti zinasema kuwa Man U inatarajia kumpatia Jose kiasi cha Paundi milioni 200 ili afanye usajili wa kutosha kwa ajili ya kujiandaa na msimu ujao.
Jose anaweza akakalia kiti cha kocha wa sasa wa Man United Louis Van Gaal anayedaiwa kutaka kutimulia wakati wowote kuanzia sasa.