Wakati wa Louis Van Gaal kama kocha wa Manchester United umefikia kikomo leo hii baada ya klabu hiyo kuachana rasmi na LVG kama bosi ambapo mreno Jose Mourinho anatarajiwa kuziba pengo lililoachwa na Van Gaal.
Hili linatokea siku mbili baada ya meneja huyo kuiongoza Manchester United kuchukua kikombe cha FA.
Van Gaal analipa gharama ya ufanyaji mbovu wa Man U ambapo imeshuhudiwa Van Gaal aking'olewa kwenye mashindano ya klabu bingwa Ulaya na kumaliza ligi kuu nafasi ya tano.
The telegraph inaripoti wakati huu
