Friday, 27 May 2016

Ronaldo aweka wazi juu ya timu ambayo mtoto wake hawezi kumruhusu aishabikie

Huyu Cristiano Ronaldo amewaweka wazi mashabiki wake juu ya timu gani ambyo mtoto wake hawezi kuja kuishabikia.

Ronaldo ameweka wazi kuwa mtoto wake hawezi kushabikia maasimu wake juu Barcelona.

“Mtoto wangu amebadilisha maisha yangu katika namna tofauti," aliongea Ronaldo.

Aliongeza, “Haiwezekani aisapoti Barcelona kwa sababu ana tabia zangu lakini kama akipigana kulipinga ilo nitakubali."