Thursday, 27 August 2015

Leo Messi mchezaji bora Uefa-Ulaya 2014-15

Leo Messi ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Uefa-Ulaya 2014-15 akiwapiku waliokuwa wapinzani wake, Cristiano Ronaldo na Luiz Suarez.

Embedded image permalink