Monday, 10 November 2014

Madereva daladala watelekeza magari wakikimbia Askali

Operation Dhidi ya magari yanayovunja sheria katika manispaa ya kinondoni
kumesababisha baadhi ya Madereva wa Daladala kutelekeza magari yao wakikimbia kukamatwa na askari wa usalama Barabarani kama ITV ilivyoshuhudia katika eneo la ubungo katika kituo kipya cha simu 2000.

Akizungumzia operation hiyo kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi kinondini Awathi amesema operation hiyo ni endelevu na
itaanza nyakati za jioni kwa maana wakati huo ndiyo Madereva wanavunja sana Sheria.