Monday, 10 November 2014

Maneno aliyoyasema Chidi Benz kufuatia kupandishwa mahakamani kesho

"Kesho napanda mahakamani
asubuhi pale kwa hakimu mkazi
kissutu..niombeeni kheri koz najua
wapo wanaonihitaji bado katika vitu mbali mbali"

via EATV