Arsenal walikuwa ugenini wakimenyana na Swansea ambapo Arsenal wamepata kichapo baada ya kukubali kufungwa magoli 2 -1
Arsenal ndio waliokuwa wa kwanza kufunga goli lilofungwa na Alexi Sanchez
Hata hivyo goli hilo halikudumu kwani Swansea nao walipata goli la kusawazisha na baadae wakapata goli la ushindi