Monday, 17 November 2014

Ipate hii mpya ya Madereva gari za Kariakoo-Tandika kugoma

Madereva wa daladala zifanyazo safari zake Tandika kariakoo wamegoma kufanya safari zao kwa muda wa saa moja hadi sasa kwa kile kilichodaiwa kwamba ni kwa sababu ya kukamatwa kwa dereva mwenzao na askali wa barabarani bila kutajiwa sababu mahususi ya kukamatwa huko na kupelekwa kituo kidogo cha polisi kariakoo.