Monday, 17 November 2014

Achana na kanda ya ngono ya Kim kardashian, Usher na mke wake waja na ya kwao hii

Kanda ya ngono ya mkali wa Rnb nchini Marekani Usher na mke wake wa kitambo Tameka inasemwa kuwa itakoka hivi karibuni ulimwengu ujionee.

Kanda hiyo ilihifadhiwa kwenye kompyuta pakatwa ya Usher ambayo iliibiwa mwaka 2009 na kuangukiwa kwa watu wabaya.

Anasemwa kumoliki kanda hiyo aliwahi kuhusishwa na umilikaji wa kanpuni kadhaa za kuzalisha picha za ngono.

Via mtvbase