Friday, 4 April 2014

Mzee wa Skelewu, Davido, aivamia Nollywood.

Inasemwa kwamba, mkali David Adeleke maalufu kama Davido sasa anajipanga kujichanganya Nollywood kufanya filamu yake ya kwanza ambayo bado haijatajwa.

Taarifa zinaeleza kuwa, Davido anatarajia kufanya kazi hiyo na 'prodyuza' ambaye  pia ni 'dairecta' mkongwe, Teco Benson atakayeshirikia na binamu yake Ikechukwu Ojeogwu.

Mashabiki wake wanasubiri filamu hiyo kwa hamu kubwa mno wakiamini atafanya vizuri kama olivyo kwenye muziki.