HIVI ndivyo hali ilivyokuwa kwenye daraja la mto mwiti ambalo limekatika kutokana na mvua wilayani masasi. Hao ni baadhi ya wananchi wakivuka kwenye mto huo.