Ni jambo la kushangaza sana na mtu unaweza kujiuliza ni kitu gani kilichowakumba watangazaji hawa mpaka kuamua kutangaza
kipindi wakiwa bila nguo.Kama ni maswala ya utandawazi,tunakoelekea ni kubaya sana kwani
hata watazamaji hawakuonekana kustuka na badala yake walikuwa wakiwapigia makofi watangazaji hao baada ya kuvua nguo zao