Monday, 28 April 2014

Akutwa akifanya punyeto wakati anaendesha gari

Kijana toka USA, Cory Evans, 22, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuendesha gari akiwa anapiga punyeto huku akimtukana dereva wa gari nyingine pembeni yake.

Polisi wa patro walisema kuwa, walipokea simu toka kwa dereva huyo wa pembeni akiwataarifu kuwa kuna mtu aliyekuwa uchi huku akifanya punyeto pia anamfuata.

Pia inasemwa kuwa, Evans alikuwa anaonekana akifanya punyeto na baadhi ya watu waliokuwa wanapita pembeni mwake.

Lakini Evans alikana tuhuma hizo.

Via NY Daily News