Wednesday, 26 March 2014

Wanawake hawa watiwa adabu, wavuliwa nguo hadhalani na kuachwa uchi na kuburuzwa. Kisa kipo hapa, twende na vitendo.

Wanawake wawili hao wa Nairobi Kenya, wamepokea adhabu ya kuvuliwa nguo na kuburuzwa baada ya kukutwa na hatia ya kumuwekea mwanaume mmoja madawa ya kulevya kwa lengo la kumuibia.

Walifanya majanga hao wakati wapo kwenye baa na jamaa huyo na baadae kutaka kutoroka na gari ya mwanaume huyo na waliposhtukiwa kutaka kufanya hivyo, raia nao walianza kuwatia adabu.

Walivamiwa na wananchi wa mtaani na kuanza kuwavua nguo moja baada ya nyingine hadi za ndani na kuwaacha kama wanavyoonekana, ila baadae walikuja kusaidiwa na polisi.