Ushawahi kumuona kobe aliyewekewa mataili yakutembelea baada ya miguu yake kutafunwa na panya!? Ebu fuatilia hapa na vitendo umuone kobe huyo.
Kobe huyo alifanyiwa oparesheni na kuwekewa mataili hayo baada ya kupatwa na balaa la kutafunwa miguu yake ya mbele na panya wakati ametulia kwenye bustani ya mmiliki wa kobe huyo huko nchi za magharibi.