Saturday, 29 March 2014

Muhtasari wa matokeo ya mechi za EPL zilizopigwa leo huu hapa. Vitendo yupo nawe hapa, twende.

English Premier Legue,
Muhtasari wa mechi zilizopigwa

Utd 4 - 1 Aston Villa

Crystal Palace 1 - 0 Chelsea

Southampton 4 - 0 Newcastle

Stoke 1 - 0 Hull

Swansea 3 - 0 Norwich

West Brom 3 - 3 Cardiff

Inayofuata usiku huu,
Arsenal v Man City 8.30PM

Upo upande gani hapa, au kama mimi!?

Chelsea na Palace