Saturday, 29 March 2014

Kumbe dada zetu wa kitanzania wanawaiga hawa kufanya mwanamke kwa mwanamke!!!, acheni bwana sio ya kwenu haya, msiwaige hawa. Twende na vitendo hapa.

Madada wengi wa kitanzania wamekuwa wakishuhudiwa mara kadhaa kwenye picha mtandaoni wakiyafanya kama yanayoonekana kwenye picha hapo juu. Bila kutambua, bila aibu, madada hao wa kitanzania wanaiga mambo ambayo sio ya kwao kabisa na ni ambayo ni kinyume cha utamaduni wa kitanzania. Acheni jamani, sio yenu haya.