Saturday, 29 March 2014

Ikitokea unahisi mwanao wa miaka 5 ni shoga utafanyaje, Je utafanya kama hili alilolifanya mama huyu!? Twende na vitendo hapa.

Mwanamke Jessica Dutro mkazi wa Portland yupo matatani kwa kumpa kichapo kikali mwanae wa miaka minne mpaka kufa kwa kile alichodai kuwa alifikiri kuwa mtoto wake huyo alikuwa shoga.

Fikiri kabla ya kutenda inakuja hapa.