Saturday, 29 March 2014

Hatari hii, ebu angalia picha ya daraja lililokatika kutokana na mvua huko Lindi. Ebu twende hapa na vitendo.

Daraja la Mtama linalounganisha barabara kati ya Lindi na Newala likiwa limekatika jana kutokana na
mafuriko yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha nchini.