Tuesday, 25 March 2014

Arsenal mashoga!? Matusi ya nguoni ya Beyern Munich kwa Arsenal yawaponza, picha yao hii inajieleza kabisa, udhalilishaji huu jamani! Vitendo anakusindikiza hapa twende ukashuhudie mwenyewe.

Mabingwa wa kombe la mabingwa ulaya, Beyern wamepewa adhabu na shirikisho la soka duniani ya kufunga upande mmoja wa uwanja wao kwenye mechi kati yao na man U inayotarajiwa kupigwa. Hii ni kutikana na mashabiki wake kuwadhalilisha Arsenal kwa kutumia picha hiyo hapo juu siku ya mechi yao na Arsenal.