Thursday, 20 November 2014

Unataka kuyajua mambo yanayokera ndani ya Bongo Movies? Yapate hapa

1. Walinzi wengi huwa ni comedians (Wachekeshaji)

2. Tajiri anakuja kumpenda masikini

3. Jambazi lazima awe anavaa miwani nyeusi na mvuta sigara na koti refu jeusi

4. wote wanaouwawa kwa bunduki
hupigwa kifuani au tumboni sio kichwani

5. Mtu yupo village,life gumu ana wave kichwani

6. Wanawake wanaamka wana makeups usoni na hereni kabisa

7. Part 2 ya movie ukiiona mwanzo unajua part 1 ilikuwaje

8. Jini akifika barabarani anaangalia pande zote ndo avuke..!

Ongeza mengine kama unayo Via BongoMovies facebook page