Sunday, 20 April 2014

(Picha) Kutana na huyu jamaa anayesema kuwa yeye ni YESU na amefufuka siku ya pasaka.

Jamaa wa ajabu aliyejulikana kwa jina la Wanlov huko nchini Zimbabwe aliyewahakikishia watu (wakristu) kuwa yeye ni yesu kristu aliyefufuka siku ya pasaka. Via Omgghana