US. Dada huyo, Dallas Archer,19, juzi alikukutwa na bastola yenye inchi 4 (kwenye picha) ikiwa imefichwa kwenye uke wake. Aligundulika kuficha bastola hiyo sehemu nyeti mara baada ya kukamatwa na polisi kwa kosa la kuendesha gari akiwa na leseni iliyokwisha muda na kufanyiwa ukaguzi na kukutwa na bastola ukeni.
Aliwezaje kuitia huko!?
Via Gawker reports