Sunday 30 March 2014

Watu wana jeuli ya pesa jamani, hebu angalia hii gari aina ya Ferrari iliyotengenezwa kwa dhahabu. Twende hapa na vitendo.

Hii ni ya mpiganaji wa kickboxing wa Iraq, Riyadh al-Azzawi aliyeshinda gari hiyo kwenye mashindano ya mapigano.