Wednesday, 5 February 2014

HABARI PICHA;ANGALIA MADAWA YALIYOKAMATWA BANDARINI.

Picha hapo chini ni wanachama wa kupambana na madawa ya kulevya wakikagua vifurushi vya madawa ya kulevya yaliyokamatwa jana katika bandari ya Dar es salaam yanayosadikiwa kuwa ni aina ya heroin na yenye uzito wa kilo 201.

Chanzo,Ipp media.