Thursday, 27 August 2015

Messi mfungaji goli bora UCL 2014-15

Mshambuliaji wa klabu ya Barcelona, Leo Messi ameibuka mshindi wa mfungaji wa gori bora la mashindano ya klabu bingwa Ulaya mwaka 2014-15, goli alilolifunga dhidi ya Buyern Munich katika mechi ya nusu fainali.

huku mlinda mlango wa Barca. Stegan ametwaa tuzo ya golikipa bora wa mashindano ya klabu bingwa Ulaya.

Messi wins inaugural UEFA.com Goal of the Season