Maneno aliyoyatoa msanii maarufu wa bongo movie kufuatia kivazi hiki alichokivaa
“Jamani niacheni na mavazi yangu,
ukifika muda nitarejea naona
mnanisema sana, kama wewe
Mungu amekujalia kusali, mshukuru mimi muda huo bado haujafika,” maneno hayo amesema msanii wa
Bongo Movies Tamrina Poshi
maarufu kama ‘Amanda