Thursday, 13 November 2014

Shirika la Afya Duniani (WHO) latoa idadi ya waliofariki kwa Ebola, inatisha

Idadi ya watu waliofariki dunia kwa
mlipuko hatari wa Ebola,
imeongezeka hadi kufikia 5,160,
Shirika la Afya Duniani (WHO)
limesema.

Shirika hilo limesema ongezeko la
mambukizi mapya ya ugonjwa huo
linaonekana kutokuwepo katika nchi za Guinea na Liberia hata hivyo linaonekana kuendelea kuwa juu katika nchi ya Sierra Leone.

Via Sammisago.com