Thursday, 13 November 2014

Miili miwili ya watoto yaokotwa pembezoni mwa fukwe ya Mbaramwezi Bichi

Taarifa ambayo imetolewa kwenye kipindi cha XXL na kwenye akaunti ya Facebook ya Clouds FM inasema kuwa kuna miili ya watoto wadogo
imeokotwa kwenye pwani ya
Mbalamwezi Beach.

Miili ya watoto hao iliyookotwa
ni ya watoto ambao wanaonekana kufanana ambao wanakadiriwa kuwa na umri wa miaka 10,Shuhuda wa tukio hilo amesema kuwa Polisiwamefika na wanaendelea na zoezi la Wananchi wanaokuja kwa ajili ya kutambua miili hiyo miwili ya watoto hao.