Wednesday, 7 May 2014

(Picha) Nikki wa pili atoa kava ya ujio wa nyimbo mpya

Mshindi wa tuzo ya wimbo bora wa Hip Hop Nikki wa pili leo ametoa cover ambayo inamaanisha ujio wake mwingine unaofuata baada ya Nje ya box.

Nje ya box ambayo ilitoka siku ya Valentine Februari, 14 2013,ingawa katikati kuna nyimbo kadhaa zilitoka kwa kundi kama Weusi ambao nao ndiyo wameibuka na ushindi wa kundi bora 2013/2014.

Wimbo unaitwa Sitaki kazi kama inavyoonesha kwenye kava ambao hadi sasa haijafahamika bado kilichoimbwa ndani ni nini ila kilichodhihilishwa ni tarehe rasmi ya kuachiwa kwa wimbo huo ambayo itakuwa ni Mei,13 mwaka huu.

Kava ya wimbo mpya ya Nikki wa 2. Via Mukebezi blog