Mwalimu Ellen Niemiec,29, wa shule moja huko mashariki mwa Carolina amefikishwa mahakamani kwa kosa la kushiriki tendo la ndoa na wanafunzi wake watatu nyakati tofauti.
Mwalimu huyo aliyejulikana kwa jina la Ellen Niemiec alifanya tendo hilo na wanafunzi wake watatu wakiwa kwenye sherehe ya nyumbani.
Mwalimu huyo alianza kuwalaghai wanafunzi wake kupitia ujumbe mfupi na baadae kumalizia na tendo kabisa.
Alipelekwa mahakani na wazazi wa vijana hao baada ya kugundua tatizo hilo.