Msichana wa miaka 5, Damiyah ambaye pia anaugua Kansa aliyekuwa na mwani wa kukutana na Nicki Minaj ili apate wigi lake atimaye atimiza ndoto yake.
Dogo huyo aliyekuwa na mwani wa kuonana na Nicki kwa muda mrefu alifanikiwa kuonana nae mara baada ya rafiki wa Damiyah kumwandikia ujumbe Nick kupitia Instagram kumwambia kuhusu hisia za Damiayah.
Nick nae hakuchelewa kujibu na alikubali kuonana nae na kumpa wigi lake kama wanavyoonekana pichani.