Wednesday, 2 April 2014

Huyu ndiye ombaomba anayejifanya mlemavu kwenye mataa ya Tazara aliyebobea kubadilisha miondoko ya kilemavu.

Ombaomba huyu ambaye si mlemavu kiukweli, amebobea kubalisha miondoko ya kilemavu ili ajipatie kipato. Gongo hilo alilonalo ulibadilisha upanda mmoja na mwingine huku akijitahidi kubadili mwendo.