Wednesday, 2 April 2014

Hemedy PhD atimae kuoa hivi karibuni, aliyemtangaza yupo hapa. Twende na vitendo hapa.

Mwimbaji Bishoo na Kipenzi cha wadada hapa mjini Bongo, Hemedy au PHD ametangaza kuwa soon ataoa na huyo kwenye picha ndio ubavu wa rohoo yake.

Humwambii kitu ....kweli Ujana maji ya Moto..Sasa yamepoa....

“So proud to call you my woma...its official,” ameandika staa huyo wa filamu na muziki kwenye picha inayomuonesha akiwa na mpenzi wake aliyoiweka Facebook.