Hii itakua ni video ya kwanza kwa ndugu wa damu Diamond Platnumz na Queen Darleen
kuonekana kwenye video moja ambayo ni video ya Queen Darleen ya wimbo wake wa Wanatetemeka,uzinduzi wa video hii utakuwa ni
April 06 Club Bilicanas.
Miongoni mwa wasanii wa bongo flava watakaosindikiza uzinduzi huu ni pamoja na Dully Sykes,Mwasiti,M-Rap, Pimp
Sitta,Recho,Linah,Barnaba,Amini na wengine wengi kama surprise kwenye Show hiyo pia kutakuwa na support ya wasanii wa bongo movie
akiwemo Jackline Wolper na Rado.
Bonyeza play kucheki video hiyo ilivyokuwa inatengenezwa.