Mchezaji wa timu ya Taifa ya Togo na ambaye ni mchezaji wa Tottenham Hotspur Emmanuel Adebayor ni mmoja kati ya wachezaji matajiri sana duniani.
Baadhi ya vitu vinavyotengeneza utajiri wake ni, ndege binafsi, nyumba iliyopo Togo, Ghana, USA, na UK na mengine mengi kama yanavyoonekana kwenye picha hapo chini.