Tuesday, 25 February 2014

Waone wakulima wa korosho wakisota kwenye foleni wakisubiri chao.

Wakulima wa korosho katika kikiji cha Mbekenyera wilayani Ruangwa mkoa wa Lindi wakiwa kwenye foleni siku tatu zilizopita wakisubiri kulipwa malipo yao ya awamu ya tatu,na baadae walitangaziwa kuwa watu arobaini pekee wangelipwa siku hiyo na kupelekea wakulima hao kugoma na kudai kuwa hela zirudishwe zilikotolewa.

Picha: Octavian Nnunduma.