Thursday, 20 February 2014

Ebu tazama wananchi hawa wanavyoshiriki kumuokoa mwanamke ambaye nyumba yake imeungua moto.

Wananchi wa kijiji cha Ruangwa wilayani Ruangwa mkoa wa Lindi wakiwa kwenye harakati za kumwokoa mwanamke mmoja aliyesemekana kuungua moto na kufariki baada ya nyumba yake kuungua juzi. Inasemekana pia mwanamke huyo alikuwa amelewa hali iliyomsababishwa kusahau kuzima kibatali. (Picha na Octavian Nnunduma)